Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ambaye alistaafu kuifundisha Man United baada ya kuitumikia kwa miaka 27. Ferguson alistaafu 2013 kukinoa kikosi hicho na kuendelea kusimamia miradi yake binafsi, Ferguson ameeleza sababu za Paul Pogba kuondoka Man United na kutokubali...
Tuesday, September 22, 2015


5-1Akishangilia moja ya bao zake leo usiku huu
Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuipiga vilivyo Wolfsburg
Balaa!
Lewandowski akishangilia baada ya kuifanyia maajabu timu yake na akitokea benchi
Akitupia nyavuni
Ndani
ya dakika 9 Robert L. alikuwa ameshafunga bao 5 peke yake na kuipa
ushindi mnono Bayern iliyokuwa nyumba ya bao 1-0 usiku huu na kuibuka
kidedea kwa bao 5-...


Meneja
wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson alitaka mshahara wake
uongezwe maradufu baada ya mshahara wa Wayne Rooney kuongezwa pakubwa
2010.Rooney alikuwa ametishia kuhama United lakini mwishowe akatia saini mkataba wa kulipwa ujira wa £250,000 kila wiki."Niliwaambia
sikudhani ilikuwa haki kwa Rooney kulipwa mshahara mara mbili ya
mshahara wangu,” Ferguson amesema kwenye kitabu...


Kampuni
ya StarTimes Media ya jijini Dar es salaam leo imeingia mkataba wa
udhamini na TFF kudhamini Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL)
inayoshirikisha timu 24 kutoka katika mikoa 16 ya Tanzania bara.
Akiongea na waandishi wa habari wakai uwekaji sahihi mkataba huo, Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi ameshukuru
kituo cha Star Times kwa kuamua kuwekeza katika...



Mgombea wa Ubunge anaekubalika na wananchi wa Masasi kupitia Mwamvuli wa
Chama cha Wananchi CUF, Ismail Makombe (Maarufu Kundambada),
akizungumza machache na wananchi hao waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja
wa Boma, leo Septemba 22, 2015.
Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Dkt. Emmanuel Makaidi akiwa ameambatana na
Mkewe, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara leo
Septemba 22, 2015....


Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi jana
amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika
uwanja Karume jijini Dar es salaam. Akiongea wakati wa ufungaji
michuano ya Airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo,
Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini
michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana...


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi
ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika
(CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema
kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini
wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha...



Kiungo mwenye kasi wa PSG, Angelo Di Maria amesema hatashangilia kama
atafanikiwa kufunga bao wakati wakivaa Real Madrid.
Di Maria ametua PSG akitokea Manchester United ambayo ilimnunua kutoka
Real Madrid ambayo sasa wako nayo kundi moja katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Madrid itaanza kukutana na Madrid Oktoba 21 jijini Paris, Ufaranda
kabla ya kurudia Madrid...



Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya wanawake
ya England, Danielle Carter amepiga hat trick wakati wakishinda kwa mabao 8-0
dhidi ya Estonia.
England imeibutua Estonia kwa mabao 8-0 katika
mechi ya kuwania kucheza michuano ya Euro 2017.
Katika mechi hiyo iliyopigwa katika dimba la Le
Coq Arena, jana usiku, England ilionekana kutawala kila eneo...


RAUNDI
ya 3 ya Kombe la Ligi, sasa huitwa CAPITAL ONE CUP, itarindima Jumanne
na Jumatano huko England nah ii ndio Raundi ambayo Vigogo wa Ligi Kuu
England huanzia. Ingawa
baadhi ya Timu za Ligi Kuu England zilianza Raundi ya Pili, wale
Vigogo, wakiwemo Mabingwa Watetezi, huanzia Raundi ya 3. Jumanne
zipo Mechi 16 za Raundi hii na Jumanne zipo 8 na baadhi yao ni ile Dabi
ya Jiji la...


MABINGWA
wa Bundesliga Bayern Munich na Vinara wa Ligi hiyo Borussia Dortmund
wana Mechi ngumu za Ligi hiyo ya Germany Leo Jumanne na Jumatano Usiku.
Jumanne,
Bayern Munich wako kwao Allianz Arena kucheza na VfL Wolfsburg ambao
wako Nafasi ya 3 baada ya kushinda Mechi 3 na Sare wakiwa na Pointi 11
zikiwa ni Pointi 4 nyuma ya Bayern ambao wako Nafasi ya Pili wakiwa na
Pointi 15 sawa na Vinara...



Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akihutubia
kwenye mkutano huo wa kampeni za CCM leo hii jumatatu septemba 21, 2015.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akiongea na Wananchi wa Jimbo lake la Bukoba Mjini leo.
Mgombea Ubunge Bukoba Mjini.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli...
Subscribe to:
Posts (Atom)