Jumanne,
Bayern Munich wako kwao Allianz Arena kucheza na VfL Wolfsburg ambao
wako Nafasi ya 3 baada ya kushinda Mechi 3 na Sare wakiwa na Pointi 11
zikiwa ni Pointi 4 nyuma ya Bayern ambao wako Nafasi ya Pili wakiwa na
Pointi 15 sawa na Vinara Borussia Dortmund.
Msimu
huu, Wolfsburg, ambao ndio waliobeba German Cup, walishaifunga Bayern
Munich Mwezi Agosti baada ya kuwabwaga kwa Penati kwenye Mechi ya
kufungua pazia Msimu mpya ya kugombea Super Cup.
Nao Borussia Dortmund Jumatano wapo Ugenini kucheza na Hoffenheim wakisaka ushindi wao wa 6 mfululizo kwenye Bundesliga.
BUNDESLIGA
RATIBA
Jumanne Septemba 22
21:00 Bayern Munich v VfL Wolfsburg
21:00 Hertha Berlin v Cologne
21:00 Ingolstadt v Hamburg
21:00 Darmstadt 98 v Werder Bremen
Jumatano Septemba 23
21:00 Schalke 04 v Eintracht Frankfurt
21:00 Bayer Leverkusen v Mainz
21:00 Borussia Moenchengladbach v Augsburg
21:00 Hanover 96 v VfB Stuttgart
21:00 Hoffenheim v Borussia Dortmund
Nao Borussia Dortmund Jumatano wapo Ugenini kucheza na Hoffenheim wakisaka ushindi wao wa 6 mfululizo kwenye Bundesliga.
RATIBA
Jumanne Septemba 22
21:00 Bayern Munich v VfL Wolfsburg
21:00 Hertha Berlin v Cologne
21:00 Ingolstadt v Hamburg
21:00 Darmstadt 98 v Werder Bremen
Jumatano Septemba 23
21:00 Schalke 04 v Eintracht Frankfurt
21:00 Bayer Leverkusen v Mainz
21:00 Borussia Moenchengladbach v Augsburg
21:00 Hanover 96 v VfB Stuttgart
21:00 Hoffenheim v Borussia Dortmund
0 maoni:
Post a Comment