
Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za
rambirambi mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Bw. Ali Nasoro Rufunga kuomboleza
vifo vya watu 42 huku wengine 91 wakijeruhiwa usiku wa kuamkia tarehe 4
Machi, 2015.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea
katika kata ya Mwakata iliyoko katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga
kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali na
kuathiri...