Saturday, September 12, 2015

Staa wa mchezo wa Tennis, Serena Williams na superstaa wa muziki wa Hip hop Drake wamekuwa topic kwenye mitandao mingi baada ya tetesi nyingi kusambaa kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi. Yote yalianza siku ambayo mapaparazzi walimnasa Drake kwenye picha akiwa kwenye mashindano ya Serena Williams huko Australia… haikuishia hapo,...
LIGI KUU VODACOM, VPL [Vodacom Premier League], inaanza Jumamosi kwa Mechi 7 na Jumapili Mabingwa Yanga kushuka Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kucheza na Coastal Union. Hiyo Jumamosi, Washindi wa Pili wa VPL, Azam FC, wako kwao Azam Complex, huko Chamazi kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Saalam kucheza na Prisons wakati Vigogo Simba kusafiri kwenda Mkwakwani, Tanga kuivaa African...
Mabingwa Watetezi Barcelona na Real Madrid, Wikiendi hii wanarejea tena kwenye La Liga baada ya kusimama kwa Wiki 2 kupisha Mechi za Kimataifa na wote wapo Ugenini wakibadilishana Miji ambayo ndio makazi yao. Jumamosi, Barcelona wako Ugenini huko Jiji la Madrid kucheza na Atletico Madrid Uwanjani Vicente Calderon wakati Real Madrid wako Jijini Barcelona kucheza na RCD Espanyol Uwanjani...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa udhamini wa kampuni ya Azam Media kupitia Azamtv Sports leo wamezindua kombe la Shirikisho litakalofahamika kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambalo litaanza kutimua vumbi mwezi Novemba mwaka huu kwa kushirikisha timu 64 nchini. Kurudishwa kwa michuano hii imekua ni faraja kwa wapenzi na wadau wa mpira miguu nchini baada ya kukosekana kwa...
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kitatoa tuzo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na wanamichezo 10 waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 akiwa Rais wa Tanzania. Taarifa ya Mweyekiti wa TASWA, Juma Abbas Pinto imesema kwamba tukio hilo ambalo pia litahudhuriwa na Rais Kikwete, litafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam likiwa...

waliotembelea blog