Sunday, March 15, 2015

Klabu ya Manchester United imeanzisha mazungumzo na ajenti wa Christiano Ronaldo kwa lengo la kumrudisha Old Trafford.Siku za usoni za Ronaldo zimejaa uvumi huku kukiwa na madai kwamba mchezaji huyo hafurahii maisha ya Madrid.Habari hizo zimeifungua macho United na sasa ripoti nchini Uhispania zinasema kuwa Manchester United imeanzisha mazungumzo na ajenti wa mchezaji huyo Jorge Mendes kwa...
MSIMAMO ULIVYO: NA TIMU P W D L F A GD PTS 1 Yanga 16 9 4 3 21 9 12 31 2 Azam FC 16 7 7 2 23 12 11 30 3 Simba 18 7 8 3 22 12 10 29 4 Kagera Sugar 18 6 7 5 15 15 0 25 5 Coastal Union 19 5 9 5 14 13 1 24 6 JKT Ruvu 18 6 5 7 16 17 -1 23 7 Ruvu Shooting 19 5 8 6 13 15 -2 23 8 Mtibwa Sugar 17 5 7 5 17 17 0 22 9 Ndanda FC 18 6 4 8 17 22 -5 22 10 Stand...
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya NSSF Media Cup 2015, yaliyoanza kulindima katika viwanja vya Sigara, Chang'ombe Dar es Salaam leo asubuhi. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akihutubia baada ya kufungua mashindano hayo. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (katikati), akiwa...
Vijana wa Yamoto Band waikonga mioyo ya mashabiki wao wa Tabata kwa kupiga show kali sana ndani ya Dar West ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu warejee kutoka UK Londoni ambako walikuwa na Ziara. Kayumba ni Zao kutoka Mkubwa na Wanawe akifungua show kwa kuimba kabla ya Vijana wa Yamoto Band. Mwanadada Marope kutoka Mkubwa na wanawe akitoa Burudani katika Ukumbi wa Dar west Tabata jana....
Lionel Messi akishangilia moja ya bao lake usiku huu ambapo Ushindi huu wa leo umepatika kupitia kwake kwa bao 2-0 dhidi ya Eibar. Ushindi huu pia unaipaisha Kileleni kwa kupata pointi 65 mbele ya pointi 61 za Real Madrid, Valencia CF ndio wanashika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 57. Atlético de Madrid leo wamebanwa mbavu kwa kutoka sare ya 0-0 hivyo wanashika nafasi ya nne wakiwa na...

waliotembelea blog