Friday, September 19, 2014

MBALI ya Wachambuzi kukuna vichwa jinsi Louis van Gaal atakavyopanga Kikosi chake kipya kilichosheheni Majina makubwa, ‘Galacticos’ kama walivyobatizwa hivi sasa huko Uingereza, sasa pia kumeibuka mjadala mwingine nani atatwishwa zigo la kupiga Frikiki wakati wa Mechi za Manchester United. Je ni Angel di Maria, Juan Mata, Wayne Rooney, Robin van Persie au Radamel Falcao? Wote hao wana...
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku's Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA. Warembo...

waliotembelea blog