Tuesday, October 8, 2013

Gus Poyet kocha mpya Sunderland KLABU ya Sunderland imemteua Kocha wa zamani wa Brighton Gus Poyet kuwa Meneja mpya wa Klabu hiyo ya Sunderland leo Jumatano kuonoa timu kwa miaka matatu.Sunderland, ambao wako mkiani kwenye Msimamo wa Ligi Kuu England wakiwa na Pointi 1 katika Mechi 7, walimtimua Paolo Di Canio hapo Septemba 22 baada kudumu kwa Miezi 6 akiongoza Mechi 13 tu. Klabu ...
Sijuhi itakuwaje?? Vincent Kompany, Nahodha wa Manchester City na Mchezaji wa Belgium, atakuwa nje ya Uwanja kwa Wiki hadi 4 baada ya kuumia Nyonga kwenye Mechi ya Wikiendi City walipoifunga Everton Bao 3-1. Pia, maumivu hayo yatamfanya akose Mechi muhimu za Man City ambako yeye ndio nguzo kubwa kwenye Difensi na Mechi hizo ni za Ligi dhidi ya West Ham, Chelsea na Newcastle,...
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Butallah (kulia) akionyesha fomu za kujiunga na Tamasha la Mitindo kwa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini lijulikanalo kama Redd's Uni-Fashion Bash kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi rasmi Tamasha hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja Mahusiano wa Kampuni hiyo,Edith...
...
BINGWA wa dunia wa kanda wa WBF, Fransic Cheka amealikwa wialayani Muheza mkoani Tanga kwa lengo la kutoa hamasa kwa mchezo wa ngumi wilayani hapo.Kocha wa Ngumu wa Muheza, Charles Muhiru amesema wamemualika Cheka wilayani kwao ili kutoa hamasa kwa mabondia wao ambao nao wana kiu ya kufikia mafanikio ya Cheka.Muhiru alisema kuwa Cheka atafika Muheza siku ya sikukuu ya pili ya Idd...
M TANZANIA FOOTBALL FEDERATION VODACOM PREMIER LEAGUE (VPL) 2013/2014 NO. TEAMSPWDLGFGAGDPTS 1Simba SC74301651115 2Young Africans SC7331137612 3JKT Ruvu FC740385312 4Azam FC725096311 5Kagera Sugar FC732285311 6Coastal Union FC725052311 7Mbeya City SC725086211 8Ruvu Shooting FC731375210 9Rhino Rangers FC714278-17 10Mtibwa Sugar FC714258-37 11Tanzania Prisons FC714249-57 12JKT Oljoro FC712448-45 13Mgambo...
Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye...
Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amesema hotuba ya kila mwezi ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa siku tatu zilizopita, imejaa maneno mengi ya kuambiwa hasa kuhusu mchakato wa Katiba Mpya, ikiwa ni pamoja na uteuzi alioufanya wa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Akizungumza na waandishi wa habari jana katika ofisi za makao makuu wa Chadema, Lissu alisema kauli zilizotolewa...
  MCHEKESHAJI mkongwe nchini, Amri Athuman 'King Majuto' ametangaza nia yake ya kujitosa kwenye siasa akitaka kuwania Ubunge katika Jimbo la Tanga Mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015. Akihojiwa na kituo cha Clouds FM, Mzee Majuto mwenye umri zaidi ya miaka 60, alisema Mungu akimjalia atajitosa kwenye ubunge jimboni humo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), akidai kiu hiyo imechochewa...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewahakikishia Watanzania kuwa uchaguzi wa kupata Kamati mpya ya Utendaji ya shirikisho utafanyika Oktoba 27 mwaka huu kama ilivyopangwa. “Wazungu wanasema ije mvua au jua, uchaguzi utafanyika. Isipokuwa tunachotaka kuhakikisha ni kuwa unakuwa uchaguzi huru na wa haki,” amesema Rais Tenga wakati akizungumza na waandishi...

waliotembelea blog