Thursday, August 27, 2015

Na Saleh Ally, Kartepe Kikosi cha Taifa Stars chini ya Kocha Mkuu, Charles Boniface Mkwasa, kimeendelea na mazoezi kwenye moja ya viwanja vya The Green Park Hotel hapa katika mji huu mdogo wa Kartepe, Uturuki. Mazoezi yalikuwa matamu na hizi ni picha 9 zilizopigwa kutoka mlimani na Saleh Ally 'Jembe' akitumia kamera yake ya kisasa kabisa, zinazoonyesha namna mazoezi yalivyokuwa...
Hi  Miaka 35 iliopita nikiwa na umri mdogo sana. Wakati huo nikisoma nursery kwenye skuli ya Tanganyika... Nna kumbukumbu ya nusunusu juu ya pengine mchezo wangu rasmi wa kwanza kushuhudia wa timu ya taifa ya Tanzania ambayo ilikuwa ikicheza na nchi ya Nigeria (Green Eagle's). Nimeita kumbukumbu nusunusu sababu ya umri mdogo niliokuwa nao wakati huo. Lakini ktk nusu...
Kikosi cha wachezaji 22 wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) kilichopo kambini mjini Morogoro, kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya kombaini ya Morogoro mwishoni mwa wiki. U-15 inayonolewa na kocha Bakari Shime, imeingia kambini mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya vijana hao kukutana kila mwisho wa mwezi na kucheza michezo ya...
Wakati Simba ikiwa kambini Zanzibar, watani wao Yanga nao wameamua kwenda visiwani humo kwa kambi ya mwisho kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara. Hilo limezua mjadala kwa nini timu hizo kongwe zenye upinzani mkubwa zimeamua kufuatana Zanzibar na imekuwa ikionekana kama huko ni maeneo ya Simba. Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro amezungumza na SALEHJEMBE ...
Mwezi April kulitokea tetemeko la ardhi Nepal, tetemeko ambalo liliua watu wapatao 9,000. Miongoni mwa watu waliokuwa wahanga wa tetemeko hilo ni kijana mwenye umri wa miaka 13 Jetin Shrestha ambaye wakati tukio hilo likitokea kijana huyo alikuwa akicheza mpira. August 27 Cristiano Ronaldo karudi tena kwenye headlines na hii baada ya zile headlines za kutoa msaada wa maafa...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye huwa ni kawaida kuwa katika headlines mbalimbali kutokana na tabia yake na matukio yake ambayo anafanya, August 27 kaongea sababu zilizomfanya asifanye vizuri akiwa Liverpool. Balotelli alikuwa na maisha magumu Liverpool kwani msimu uliomalizika aliishia kucheza mechi 16 na kufunga goli moja pekee. Balotelli analaumi mbinu za kocha...
Klabu ya Manchester United bado inasaka nyota kadhaa watakaojiunga na kikosi chao ili kuweza kuongeza nguvu na kucheza kwa kiwango cha juu. Man United ambayo kwa hivi karibuni ilimkosa Pedro Rodriguez baada ya kocha wa Chelsea Jose Mourinho kumpigia simu na kumshawishi ajiungea na Chelsea. Sasa Man United wamerudi tena katika klabu ya FC Barcelona ila safari hii wanahitaji kumsajili nyota ambaye...
HAPA ALIAMUA KUJIFUA NA TIMU YA RUGBY ILI KUJIWEKA FITI ZAIDI. Mtanzania Emily Mgeta sasa anajiandaa kuendelea kupasua anga katika soka la Ujerumani akiwa na kikosi chake cha Neckarsulmer. Neckarsulmer inashiriki daraja la tano na Mgeta anaonekana taratibu kujihakikishia namba katika kikosi cha kwanza na wikiendi hii wanatarajia kucheza dhidi ya Schwäbisch Hall. “Kweli tutacheza na...
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la Samunge, jijini Arusha leo  Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo jijini Arusha leo  Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu akimuombea...
Na Andrew Chale, modewjiblog (Dar es Salaam)-Ile shoo kubwa yamaonyesho ya mavazi ubunifu ya Tanzania katika kuibua vipaji vya wanamitindo chipukizi na models lililoandaliwa na kampuni ya Crown River Fame likijulikana kama Sanaa Fashion Show, linatarajia kufanyika Ijumaa hii ya Agosti 28, ndani ya ukumbi wa Mbezi Garden Hotel, ambapo pia kutakuwa na shoo kabambe kutoka kwa...
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi.  Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo  Wakiendelea...

waliotembelea blog