Saturday, August 23, 2014

  ...
  Angel di María na Sami Khedira ni wazi sasa wako mguu mmoja nje ya Real Madrid baada ya kutupwa nje ya Kikosi kilichoteuliwa kuivaa Atletico Madrid Ijumaa Usiku huko Estadio Vicente Calderon kwenye Mechi ya Marudiano ya Supercopa de Espana ambayo Real walichapwa 1-0.Awali wote wawili walitajwa kwenye Kikosi cha Wachezaji 22 kwa ajili ya Mechi hiyo na Atletico Madrid kwa mujibu...
Aston Villa na Newcastle zimetoka Sare ya 0-0 kwenye Mechi ya kwanza ya Ligi Kuu England iliyochezwa Villa Park hii Leo.Newcastle walimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Mike Williamson kupewa Kadi ya Njano katika Dakika ya 86 na Dakika 4 baadae kupewa Kadi ya Njano ya pili na kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu.Mashabiki wa Newcastle United wakipamba Mechi yao.Kocha wa England Roy nae alikuwa...
Kocha mkuu wa Yanga sc (katikati), Mbrazil Marcio Maximo amewasili kisiwani Unguja kuendelea kuiwinda ligi kuu Tanzania bara Na Baraka Mpenja BAADA ya kukamilisha programu ya mazoezi ya siku tano kisiwani Pemba, kikosi cha Yanga kimewasili kisiwani Unguja (Zanzibar) tayari kwa kumalizia siku nyingine tano zilizosalia. Yanga imeweka kambi ya siku 10 Zanzibar na tayari imekata tano ikiwa...
+6 Maajabu:Kiungo wa Wolfsburg, Junior Malanda alikosa bao la wazi  dhidi ya  Bayern Munich jana usiku. NYOTA wa Wolfsburg, Junior Malanda ameingia kwenye rekodi ya kukosa bao la wazi zaidi na kusababisha timu yake kufungwa. Wakikabiliana na mabingwa watetezi, Bayern Munich katika mchezo wa ufunguzi wa Bundesliga, kiungo huyo wa ulinzi mwenye miaka 19 alishindwa...
Simba itarudia rekodi ya 1993 barani Afrika?: Rais wa Simba sc, Evans Elieza Aveva anaaminiwa kurudisha heshima ya klabu hiyo. Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 MZAMBIA Patrick Phiri huwezi kuthubutu kumdharau hata kwa dakika moja, hakika ni miongoni mwa makocha wa kigeni waliopata mafanikio makubwa wakifundisha klabu za ligi kuu soka Tanzania. Phiri ni kocha mwenye heshima...
Free agent Georgios Samaras took his two-footed talent to West Brom, signing a two-year contract with them. I don’t know why Celtic failed to offer him new terms at the end of his contract. He was very helpful to the team.Nonetheless, welcome to the Premiere League. Can’t wait to show you around tow...

waliotembelea blog