Thursday, October 8, 2015

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe pamoja na Tundu Lissu. Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini (NEC) imewataka wananchi kutosimama katika vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura oktoba 25 kufuatia viongozi wa Chama cha Demokrasia  na Maendeleo kuwataka Wananchi kukaa umbali wa mita 100 umbali unaokubalika kisheria baada ya kupiga kura ili wazilinde kura zao. Kwa mujibu...
Yale yake unaweza kusema hivyo baada ya mchezaji wa timu ya taifa ya mchezo wa raga ya Afrika Kusini kumng’ata mwenzake. Kupitia picha iliyopigwa na Kevin Quigley, inaonyesha mchezaji wa Afrika Kusini ‘Springboks’, Frans Malherbe akididimiza meno yake kwneye bega la Matt Trouville wa timu ya taifa ya Marekani wakati wakiwania mpira. Usisahau, siku chache...
 Mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta Said Kanolo (katikati) akifurahi na wadau wa bia ya Serengeti Premium Lager, wakati wa shindano la mwisho la Serengeti Masta kwa wateja wa kanda ya ziwa lililofanyika katika baa ya Shooters iliyopo barabara ya Airport jijini Mwanza. Kampeni hiyo ya Serengeti Masta imedumu katika kanda hiyo kwa takriban muda wa miezi (2) sasa ikiwakutanisha...
Mwanamziki wa Uingereza,Arjun Coomeraswamy akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani)juu ya ujio na kukutana na watu mbalimbali katika Ukumbi wa Viva Tower jijini Dar es Salaam na  Jumamosi atafanya shoo Zanzibar katika ukumbi wa Kendwa Rocks Beach Resort iliyofanyika leo katika ukumbi wa New Afrika jijini Dar es Salaam. Mkuu Kitengo  wa kinywaji cha...
Masaa machache baada ya Rais wa FIFA Sepp Blatter kusimamishwa kuliongoza shirikisho hilo, kiongozi wa shirikisho la soka Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho hilo kwa muda. Hayatou atachukua nafasi hiyo kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais wa FIFA Sepp Blatter kwa muda wa siku 90 na Kamati ya Maadili ya shirikisho ...
Lionel Messi na Neymar, watakuwa nje wakati Nchi zao Argentina na Brazil zikianza Mechi zao za kwanza za Kanda ya Nchi za Marekani ya Kusini kusaka nafasi za kucheza Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018 huko Russia hapo Alhamisi. Messi ataikosa Messi ya Argentina na Ecuador kwa vile ni majeruhi wakati Neymar ataikosa Mechi ya Nchi yake Brazil ikicheza Ugenini na Chile zikiwa ni Mechi...
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imetakata baada ya kuifunga Malawi `The Flames’ kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mabao ya Taifa Stars yalifungwa na wachezaji wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Mabao yote...
STRAIKA Chipukizi wa Manchester United Anthony Martial ameteuliwa kuwa ndio Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti/Septemba katika Ligi Kuu England na kuzoa Tuzo ya PFA ya Mashabiki. PFA [Professional Footballers Association] ni Chama cha Kutetea Hakika Wachezaji wa Kulipwa wa Soka huko Uingereza. Martial, mwenye Miaka 19, alijiunga na Man United katika Siku ya mwisho ya Dirisha la Uhamisho, hapo...

waliotembelea blog