Monday, May 4, 2015

Meneja wa Manchester United Loius van Gaal amemvua jukumu la kupiga Penati Robin van Persie baada ya Jumamosi kukosa kufunga Penati na Timu yake kuchapwa 1-0 na West Bromwich Albion. Alipohojiwa ikiwa Van Persie ataendelea kuwa chaguo la kwanza la upigaji Penati, Van Gaal alijibu: "Hapana. Sasa ni mwisho." Aliongeza: "Siku zote ni hivyo. Wayne Rooney alishawahi kukosa na ukikosa unarudi...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platinumz ambaye ni balozi wa Mziiki ambayo ni program ya simu za mkononi (mobile app) ya Vodacom Tanzania akiimba jukwaani Zari White Party iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. App hiyo inawaletea wateja burudani ya muziki kiganjani. Picha zote na BAZIRA.COM Mchumba wa msanii wa muziki wa kizazi kipya,...

waliotembelea blog