Monday, September 28, 2015

1. Change the formation to 4-3-3Jose Mourinho's side did fight back for a point at Newcastle on Saturday but a formation switch could be beneficial.  2. Try some of the kids Ruben Loftus-Cheek has impressed in brief appearances and could be a good option to revive the Blues' midfield.  3. Bring in Baba Rahman, move Cesar Azpilicueta to right-back Eden Hazard's slow start to the season...
Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo leo Septemba 28, 2015. Umati wa Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakisikiliza sera za Mgombea...
Jumanne zipo Mechi 8 za Makundi E hadi H na Jumatano ni 8 za Makundi hadi A hadi D. Mabingwa Watetezi Barca wako kwao Nou Camp kucheza na Bayer Leverkusen wakisaka ushindi wao wa kwanza baada ya kutoka Sare 1-1 na AS Roma katika Mechi yao ya kwanza ya kundi E Ugenini huko Italy. Lakini Barca watatinga Mechi hii bila ya tegemezi wao mkubwa Lionel messi ambae ameumia Goti na anakisiwa kuwa...
MASHABIKI wa Manchester City sasa wamekuwa mbogo na kuanza kumshambulia Meneja wao Manuel Pellegrini baada ya Jumamosi kunyukwa 4-1 na Tottenham kwenye Mechi ya Ligi Kuu England. Wiki mbili zilizopita Man City walikuwa kileleni mwa Ligi Kuu England baada ya kushinda Mechi zao zote 6 za Ligi Kuu England lakini sasa wamechapwa Mechi...
Yohane Cabaye akishangilia bao lakePatashika Bao la mkwaju wa penati kipindi cha pili lilifungwa na Mchezaji wa Cabaye limetosha kuwapa Ushindi Crystal Palace leo hii kwenye Uwanja wa Ugenini wa Klabu iliyopanda daraja msimu huu Watford. Kabaye akishangilia!Rafu mbaya kwenye eneo la penati!Yohane Cabaye akichonga penati!Cabaye akishangilia mbele ya Mashabiki wake VIKOSI: Watford: Gomes,...
Kipre Tchetche anaiandikia Azam Fc bao la pili dakika ya 52 na kufanya 2-0 dhidi ya Mbeya City. Raphael Alpha anaipa bao Mbeya City dakika ya 56 kipindi cha pili. Azam fc sasa wanapata pointi 12 sasa wakilingana na wengine juu wakitofautiana kwa magoli. Bao la Mudathir Yahya kipindi cha kwanzana kwenda mapumziko Azam Fc ikiongoza bao 1-0 dhidi ya Timu ya Mbeya City.  Bao...

waliotembelea blog