Thursday, June 4, 2015

Mapema wiki hii millardayo.com iliandika stori ya ajali ya lori la mafuta kuua zaidi ya watu 90 Nigeria ikiwa ni baada ya kuwa kwenye mwendo mkali na kugonga watu na magari yaliyokuwa kwenye kituo cha abiria. Muonekano wa kituo cha mafuta baada ya kulipuka Lakini leo Ghana nayo imeingia kwenye headlines baada ya kituo cha mafuta kulipuka na kuua watu wanaokadiriwa kuzidi 90 katika...
Kocha msaidizi wa Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Salum Mayanga, (kushoto) akiongea na wandishi wa habari leo. Katikati ni kocha Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mart Nooij na kulia ni kocha msaidizi wa Taifa stars, Mecky Mexime. KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mart Nooij, amesema atatumia kambi ya Ethiopia kujiandaa na mchezo wa Misri kwani vijana wapo katika hali nzuri...
Steve McClaren anatarajiwa kuthibitishwa kuwa Meneja mpya wa Klabu ya Ligi Kuu England Newcastle Wiki ijayo. McClaren, mwenye Miaka 54, ni Meneja wa zamani wa England na pia aliwahi kuwa Meneja Msaidizi chini ya Sir Alex Ferguson huko Manchestet United. Mwezi uliopita McClaren alutimuliwa kama Kocha wa Derby County inayochezea Ligi ya chini Championship. Mara mbili McClaren amewahi kuigomea...
Barcelona na Juventus Wikiendi hii mojawapo inaweza kuwa Klabu ya 8 Barani Ulaya kutwaa Trebo. Huko Ulaya Klabu inayofanikiwa kuwa Bingwa wa Nchi yake na pia kutwaa Kombe la Nchi hiyo na kisha kufanikiwa kubeba Kombe la UEFA CHAMPIONS LIGI kwenye Msimu mmoja huo huo husemwa imetwaa Trebo. Hivi karibuni Barcelona waliifunga Athletic Bilbao kwenye Fainali na kubeba Copa del Rey na hiyo inafuatia...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali itakayokua inazikabili. Uzinduzi huo wa jezi mpya uliofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro jengo la Golden Jubilee uliambatana na uziduzi wa tovuti mpya ya shirikisho, uliongozwa na mgeni rasmi Mh. Said Mtanda, mbunge wa jimbo la Mchinga...
MATUKIO YA MAZISHI YA MHE. SAMWELI NTAMBALA LWANGISA LEO JUMATANO JUNI 3, 2015 KITENDAGURO-BUKOBA. MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA! Na Faustine Ruta, BukobaMamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na...

waliotembelea blog