Mchezaji soka mmoja nchini Uingereza
amefungwa jela mwaka mmoja kwa kosa la kumvunja mguu mchezaji wa klabu
pinzani kwa kumkanyaga mara kadha wakati wa mechi.Nathaniel Kerr, 24, alikiri mashtaka mbele ya hakimu katika mahakama mjini Manchester, Uingereza.Mchezaji
aliyeumizwa Stuart Parsons, 30, alikuwa akijibizana na mmoja wa
mchezaji mwenzake Kerr kwenye mechi ya ligi ya Sunday muda...
Thursday, October 1, 2015



Msanii vichekesho, Tausi akizungumza na wana Igunga katika mkutano wa kampeni zizoendelea mjini humo.
Msanii Kupa akiwa amembeba msanii wa vichekesho, Tausi huku Msanii
Ndede akipunga mkono kuwasilimia wana Igunga mara baada ya kuwasili
mjini hapo kwa shuguli za Kampeni.
Msanii Kajala akitoa ishara ya Gole Gumba kama alama ya CCM kwa wakazi
wa mji wa Igunga alipoitwa jukwaani...


Hii imekuwa kawaida kwa wanasoka wengi barani Ulaya
kupenda kununua magari ya kifahari kutokana na mahitaji yao lakini hii
huchangiwa na mishahara yao mikubwa wanayolipwa na vilabu vyao. Mapema
mwaka 2015 tuliona nahodha wa klabu ya Chelsea John Terry alionesha gari lake jipya.
October...


September 10 mwaka huu alinukuliwa Rais wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Florentino Perez kuhusiana na stori za klabu ya PSG ya Ufaransa kuhitaji kumsajili Cristiano Ronaldo akitokea Real Madrid. Rais wa Real Madrid alidaiwa kukataa kabla ya siku hiyo kukubali kuwa Ronaldo anaweza kuuzwa...


Kwenye
Listi ya FIFA ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo, Argentina wamebakia
Namba 1 huku Mabingwa wa Dunia Germany wakipanda na kukamata Nafasi ya
Pili wakati Tanzania imebaki pale pale Nafasi ya 140. Kwenye 10
Bora, Belgium imeshuka na kushika Nafasi ya Tatu, Portugal wamepanda
hadi Nafasi ya 4 na Spain kurudi 10 Bora baada ya Miezi Mitatu na sasa
wapo Nafasi ya 6 baada kupanda...



Meneja biashara wa kitengo cha Airtel Money, Bwn Asupya Naligingwa
(kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza Airtel
kugawa gawio la faida la zaidi ya shilingi billion 5 kwa wateja na
mawakala wake wanaotumia huduma ya Airtel Money nchi nzima. Pichani
ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Bi Jane Matinde
KAMPUNI ya simu za mkononi
ya...
Baada ya kucheza faulo uwanjani na kumvunja mguu mchezaji wa timu pinzani, amehukumiwa kwenda jela..


Stori nyingi na matukio mengi tumewahi
kuyasikia na kuyaona yakitokea uwanjani kama wachezaji kuvunjana miguu,
kuanguka na kupoteza fahamu wakati mwingine hata kupoteza
maisha uwanjani. Matukio yote hayo tumekuwa tukiyaona yakimalizika
uwanjani au adhabu hutolewa na Shirikisho au kamati...



Licha ya kuwa ugenini, Benfica imefanikiwa kuitwanga Atletico
Madrid kwa mabao 2-1 ikiwa nyumbani kwao Madrid, Hispania.
Kikosi hicho cha Ureno kilionyesha soka safi na kushinda mechi
hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, hali iliyoonyesha kuwaudhi sana mashabiki wa A.
Madrid.
Siku moja kabla, wapinzani wakubwa wa Benfica, FC Porto
walifanikiwa pia kupata ushindi kama huo katika Ligi ya Mabingwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)