
Waswahili hawaishiwi vioja kwa tungo,
nahau, mafumbo, methali hata vitendawili. Yote yanaakisi maisha ya jamii
pana inayotuzunguka. Kwa leo nimeguswa na msemo usemao, nabii
hakubaliki kwao.
Nimesimama peke yangu nikiamini kuwa
wapo manabii ambao wanakubalika...