Tuesday, January 5, 2016

MENEJA wa Liverpool Jurgen Klopp yupo hatua za mwisho kukamilisha usajili wake wa kwanza wa Mchezaji mpya na huyo ni Marko Grujic. Grujic, mwenye Miaka 19, Leo ametua Anfield kwa upimwaji wake wa afya ili kukamilisha Dili ya Pauni Milioni 5.1 kutoka Red Star Belgrade.Inatarajiwa baada ya kukamilika kwa Uhamisho wake kwenda Liverpool, Kinda huyo atarudi kuichezea kwa Mkopo Red...
Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza katibu mkuu wa shirikisho hilo linalosimamia soka duniani Jerome Valcke asimamishwe kujihusisha na mchezo wa soka kwa miaka tisa. Katibu huyo anadaiwa kutumia vibaya pesa ikiwemo uuzaji wa tiketi za kombe la duniani lililopita pamoja na kukiuka...
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wyne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine. Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014 kushinda pia mwaka 2008 na  2009. Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa bora kwa...
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka mpya, ujio wake Kenya uliwashangaza wengi kutokana na kuja kimya kimya. Ninazo pichaz za Pep Guardiola akitalii...

waliotembelea blog