
Kikosi
cha Young Africans kimewasili jana mjini Kahama ambapo kitaweka kambi
ya siku ya tatu kabla ya kuelekea mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo wake
wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara siku ya jumamosi dhidi ya wenyeji
timu ya Kagera Sugar. Young Africans ikiwa mjini Kahama itacheza
mchezo wa kirafiki siku ya jumatano dhidi ya wenyeji timu ya Ambassador
FC ikiwa ni sehem ya maandalizi...