Thursday, May 28, 2015

 Mwigizaji wa Origino Komedi ,Mjuni Sylivery(Mpoki,nyani Mzee),akipewa maelekezo ya kuendesha Trekta mara Baada kukabidhiwa ufunguo wake na  Fundi Mkuu wa Kampuni ya Farm Equip Tanzania , Yunusu Nsekela wakati wa kukabidhiwa Matrekta kwaajili ya kilimo jijini Dar es Salaam leo  Mwakilishi wa muigizaji Josef Shamba(Vengu),ambaye hakuweza kufika kupokea Trekta lake...
Chuck Blazer alikuwa mjumbe wa kamati tendaji ya FIFA wakati alikuwa akifanya udukuzuzi kwa niaba ya FBI katika Shirikisho la Soka Dunia Fifa kwa kipindi cha miaka miwili.Kashfa za rushwa zinazoelezwa kwa kiasi kikubwa katika Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA, zilizotolewa Jumatano asubuhi wiki hii baada ya kukamatwa kwa maofisa saba wa Shirikisho hilo, ni za muda mrefu. Kwa mujibu...
KUFUATIA mafanikio makubwa yaliyopatikana katika Msimu wa Pili wa Coke Studio Africa, Kampuni ya Coca-Cola kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya, inayo furaha kutangaza kuanza tena msimu wa tatu wa burudani ya muziki maarufu kwa jila la Coke Studio Africa. msimu huu utajumuisha wanamuziki wakali 26 barani Afrika huku nyimbo mpya 52 kutumbuizwa ikiambatana na maonyesho 9 ya wanamuziki...
Straika wa Sevilla  Carlos Bacca akiifungia bao la Ushindi kipindi cha pili dakika ya 73 Juhudi binafsi za Bacca zilimfanya aifungie bao mbili na Kipa wa  Dnipro Denys Boyko Pamoja na kuwa kulilinda vyema lango lake hakuona ndani bao la mwisho la Bacca. Bacca akishangilia Carlos Bacca akiomba mara baada ya  kufunga bao mbele ya wapiga picha pembeni ya Uwanja Mchezaji...
FIFA imesema Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho hilo utaendelea Ijumaa licha ya Maafisa wao 7 kukamatwa na Polisi kwa tuhuma za kupokea rushwa ya zaidi ya Dola 150 Milioni. Ijumaa Kongresi ya FIFA inapiga Kura za Uchaguzi wa Rais ambapo Rais wa sasa, Sepp Blatter, anawania kiti hicho kwa mara ya 5 huku akikabiliwa na Mpinzani mmoja, Mwana wa Mfalme Ali bin al-Hussein kutoka Jordan. Maafisa...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa mkutano huo wanachama wa CWT ulitarajia kuwachagua viongozi wapya wa chama Hicho.Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete ameahidi kutatua changamoto moto mbalimbali zinazowakabili waalimu...
YAMOTO BAND, MASHAUZI KUWASHA MOTO MANGO GARDEN  KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, ukumbi wa Mango Garden, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kupitisha wikiendi bila burudani yoyote, leo usiku ‘utawaka moto’ wakati Yamoto Band na Mashauzi Classic zitakapotoa shoo kabambe hapo. Wasanii wa yamoto band. Ni onyesho ambalo limeteka hisia za mashabiki wa muziki kutokana...

waliotembelea blog