Kipa
De Gea amesema anasikia fahari kubwa kufanywa Kepteni wa Manchester
United Jana Usiku wakati walipoifunga Ipswich Town 3-0 Uwanjani Old
Trafford katika Mechi ya Raundi ya 3 ya Capital One Cup. David De
Gea alirejeshwa Kikosi cha Kwanza cha Man United Mwezi huu baada ya
kutupwa nje kutokana na sakata lake la kuhamia Real Madrid. Jana,
baada ya Kepteni Wayne Rooney kutoka Uwanjani...
Thursday, September 24, 2015


Klabu ya soka ya Arsenal
ilikuwa ikihusishwa kutaka kuwasajili wachezaji kadhaa katika dirisha
la usajili lililofungwa mwezi August lakini haikufanikiwa na hatimaye
ilifanikiwa kumsajili kipa wa zamani wa Chelsea Peter Cech kwa dau la pound milioni 10, miongoni mwa majina yaliyokuwa...


Stori za soka la wanawake kukua zimezidi
kuchukua nafasi duniani kote ila kinachovutia ni kuwa utamaduni wa nchi
za kiarabu ambazo zimekubali kuunga mkono soka la wanawake lakini kwa
baadhi ya masharti kwa washiriki hao kama mavazi na mengineyo.
September 24 ninayo stori kutoka Iran inayohusu...



Viingilio
vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ni shilingi elfu
saba (7,000). atika mchezo huo kiingilio cha juu kitakua ni shilingi Elfu Thelathini (30,000) kwa viti vya VIP A, Elfu Ishirini (20,000) kwa viti vya VIP B & C, huku kiingilio...


Zimeibuka
taarifa kuwa Daktari wa Chelsea Mwanamama Eva Carneiro ameacha kazi
Klabuni hapo na yupo mbioni kuifungulia Mashitaka. Dokta huyo
aliondolewa kuihudumia Timu ya Kwanza ya Chelsea baada ya Mechi ambayo
Chelsea walitoka 2-2 na Swansea hapo Agosti 8. Katika Mechi
hiyo,Dokta Carneiro na Tabibu wa Viungo Jon Fearn waliingia Uwanjani
kumtibu Eden Hazard kwenye Dakika za Majeruhi wakati...



Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, LINDI.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia...
Subscribe to:
Posts (Atom)