Justin Bieber mashakani
Mwanamziki mashuhuri wa muziki
wa 'pop' kutoka Canada Justin Bieber amefunguliwa mashtaka ya kumpiga
dereva wa gari la kifahari la kukodisha mwezi Disemba mwaka uliopita.
Bwana Bieber aliye na umri wa miaka 19
alikaribishwa katika katika kituo cha polisi cha Toronto na kikosi...
Wednesday, January 29, 2014



Mwenyekiti
wa Chama cha Demokreasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Kawe,
Halima Mdee wakiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa Operesheni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika mjini Ifakara jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele,
wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja...


Kocha wa Manchester City akijionea mwenyewe wenzao bao 5-1 kwao White Hart Lane.
Bao
la nne kwa City limefungwa na Stevan Jovetic katika dakika ya 78, Huku
Spurs wakicheza pungufu wakiwa 10. Spurs Mchezaji wao alifanya makosa
na hatimaye Kompany akawashona bao la tano na kufanya 5-1 dhidi ya
wenyeji Spurs.
Yaya Toure na Dzeko wakipongezana baada ya kupata...


Wanajeshi
wa serikali ya Sudan Kusini na waasi bado wanaendelea na mapigano licha
ya makubaliano ya wiki iliyopita ya kuweka chini silaha, huku kila
upande ukitafuta kuchukua udhibiti wa miji mikuu nchini humo
Umoja wa Mataifa umesema idadi ya raia wanaotafuta hifadhi katika kambi
zake nchini humo inazidi kupanda. Naibu wa msemaji wa umoja wa Mataifa
Fahran Haq amewaambia waandishi wa...


Baraza
la usalama la umoja wa mataifa limependekeza kuwepo idadi ya wanajeshi
zaidi ya elfu kumi katika Jamhuri ya afrika ya Kati kwa ajili ya kulinda
amani.
Tayari kikosi cha umoja wa Ulaya kimepewa ruhusa na Umoja wa mataifa ya
kwenda Jamhuri ya Afrika Kati ili kuwalinda raia.Kwenye azimio
lililopitishwa kwa kauli moja na wanamemba 15 wa Baraza la Usalama la
Umoja wa mataifa ni kwamba...
Subscribe to:
Posts (Atom)