Monday, April 20, 2015

Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini mbalimbali wa KKKT. Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa...
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kumtangaza mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, Mayunga Nalimi (katikati), katika tafrija iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia),  Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akimkabidhi...
Waziri mkuu Mstaafu ,Fredrick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Waziri mkuu Msaatfu Fredirick Sumaye akikimbia sambamba na rais wa shirikisho la riadha Tanzania,RT,Athony Mtaka(Kushoto kwake) mkuu wa mkoa wa Arusha ,Daud Ntibenda,pamoja...
You chose Mayunga Nalimi! Tanzania's contestant seduced you and the judges Akon, Lynnsha and Devyne Stephens. After a finale full of unexpected developments, Mayunga has been one of the only to keep his calm during his performances. That's probably why he fainted just after he heard final verdict! Mayunga Malimi has quickly attracted judges' eyes with great live and acapella performances....
Harry Kane jana alifunga bao lake la 20 dhidi ya Newcastle UnitedHarry Kane jana alifunga bao lake la 20 dhidi ya Newcastle UnitedS  WANAOONGOZA KWA KUFUNGA BAO EPL KWA SASA: RankPlayerGoals 1Harry Kane20 1Sergio Agüero20 3Diego Costa19 4Charlie Austin17 5Alexis Sánchez14 5Olivier Giroud14 7Eden Hazard13 8Saido Berahino12 8Wayne Rooney12 10David Silva1...

waliotembelea blog