
Mkuu
wa wilaya ya mtwara Mh, Wilman Kapenjama akimpongeza mzee Sefu
Namtapika (60) baada ya kumkabidhi gari yake aina ya Toyota IST mpya
aliyojishindia kupitia promosheni ya Airtel Yatosha zaidi na kukabidhiwa
katika viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki hii.Mkuu
wa wilaya ya Mtwara Mh, Wilman Kapenjama akikabidi funguo ya gari kwa
Mshindi wa Promosheni Airtel yatosha...