
Mh. Dioniz Malinzi "Ekikaka"

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alimvisha Joho na kofia
Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi. Picha na Faustine Ruta,
Bukoba

Mh Dioniz Malinzi(katikati) akiteta na Ndugu Yahaya Kateme(kulia) wakati akisimikwa

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi mkuki
Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa kumsimika
kwenye uwanja wa Uhuru Platform maarufu kama uwanja wa Mayunga. Picha na
Faustine Ruta, Bukoba


Baadhi ya Viongozi wakishuhudia Tukio hilo wakiwa meza kuu.

Kundi la Saida Karoli likitumbuiza...

Mtoto Amina Mbaraka Chilusadi aliyekuwa akicheza pamoja na Saida Karoli akifanya mambo yake

Akicheza ngoma safi kutoka kwa Saida na kundi lake zima

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akimtuza Mtoto Amina Mbaraka Chilusadi aliyekuwa akicheza pamoja na Saida Karoli.

Saida
Karoli akitumbuiza wakati wa sherehe hizo za usimikwaji wa kamanda wa
vijana Dioniz Malinzi kwenye uwanja wa Uhuru,Mayunga Bukoba mjini.

Mtoto
Amina Mbaraka Chilusadi akipewa zawadi na Viongozi baada ya kucheza
vyema Ngoma iliyokuwa inatumbuizwa wakati huo wa Kumsimika Kamanda
Dioniz Malinzi

Mbunge wa Bukoba Mjini akiteta jambo na Wananchi wake Bukoba katika Mkutano wa Kumsimika Kamanda wa Mkoa Bw. Dioniz Malinzi

Watu kumsikiliza Mbunge wao Kagasheki ilikuwa Furaha tupu!! Na hapa wakampokea kwa sana

Mkuu wa Mkoa Kagera(kushoto)Mh. John Mongella

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Bukoba
mjini kwenye uwanja wa Uhuru Platform kwenye sherehe za usimikwaji wa
Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.

Wananchi waliojitokeza wakiunga jambo

Vijana Makamanda(CCM) wakishuhudia zoezi hilo kwa makini
0 maoni:
Post a Comment