Kwa Timu ya Preston North End safari imeishia hapa na Wanajiandaa kuendelea na Ligi yao ya Championship.
Dakika ya 65 Ander Herrera aliisawazishia bao Man united baada ya kupata pasi kutoka kwa Ashley Young aliyeingia kipindi cha pili akichukukuwa nafasi Radamel Falcao na kufanya 1-1.
Mchezaji wa zamani wa Stevenage Laird akifurahia ushindi wa bao lake mapema kipindi cha pili huko kwenye Uwanja wao Deepdale
Laird akiwa amezungukwa na kukumbatiwa chini na Wachezaji wenzake wa Preston baada ya kuipa bao.
Marouane Fellaini akichuana na mchezaji wa Preston North End difenda Bailey Wright na kuumia pua baada ya kupigwa na kiwiko.
0 maoni:
Post a Comment