
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya
mazungumzo na balozi wa Cuba Mhe Jorge Lopez Tormo nchini Ikulu jijini
Dar es salaam leo Agosti 30, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya aliyekutana naye na kufanya
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo...