Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) wametoka nje muda huu baada ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya
Upinzani Bungeni ambaye pia ni Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman
Mbowe kuamriwa atolewe nje na Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai.
Mbowe
alisimama ili achangie lakini aliamriwa na Job Ndugai kukaa chini jambo
ambalo hakuliafiki na kuendelea kusimama. Baada ya tukio hilo, Ndugai
aliwaamuru...