
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na
waandishi wa habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone
lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha mteja
kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili
lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo
siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili...