
KIUNGO
wa kimataifa wa Ujerumani, Bastian Schweinsteiger atawasili Uwanja wa
Ndege wa Manchester kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 15
kuhamia Manchester United kutoka Bayern Munich.
Nahodha
huyo wa Ujerumani, ambaye ameongozana na mpenzi wake, nyota wa tenisi,
Ana Ivanovic, atakwenda moja kwa moja kufanyiwa vipimo vya afya na
kufanya makubaliano ya maslahi binafsi kabla ya kukamilisha...