Mikakati ya kumpata Rais mpya wa klabu ya Barcelona umeanza kwenye uwanja wa Nou Camp huku nahodha wao Andres Iniesta akiwaongoza wachezaji wa zamani na wa sasa kupiga kura.
Josep Bartomero anapewa nafasi kubwa ya kushinda kiti hicho ndani ya klabu hiyo.
Wachezaji wa zamani na mahodha wa klabu hiyo kwa nyakati tofauti Carles Puyol na Xavi walikuwa...
Sunday, July 19, 2015



Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati
aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake
Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani hapo, mapema asubuhi ya leo.
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John
Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu...


AZAM FC imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na
Kati, Kombe la Kagame baada ya kuwafunga KCCA ya Uganda bao 1-0 jioni ya
leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mfungaji wa bao hilo la pekee ni
Nahodha, John Raphael Bocco Kipindi cha kwanza na Kipindi cha pili
hakuna aliyeziona nyavu za mwenza...


MENEJA
wa Chelsea Jose Mourinho amemuudhi Meneja mwenzake wa Everton baada ya
kutangaza kuwa Chelsea imetoa Ofa ya kumnunua Beki John Stones. Ofa hiyo ya kumnunua Beki wa Miaka 21 ya Pauni Milioni 20 imekataliwa na Everton. Akiongea na Sky Sports News, Mourinho alisema: "Tumetoa Ofa kwa sababu tunampenda Beki huyo." John Stones, ambae ameichezea England mara 4, alinunuliwa na Everton kutoka...


Louis van Gaal amekiri Javier Hernandez 'Chicharito'
atapata nafasi nyingine ya kupigania nafasi yake kwenye Kikosi cha
Manchester United akiungana na Timu hiyo hapo Julai 25 huko Ziarani
Marekani. Chicharito, ambae aliifungia Man United Bao 59 katika
Mechi154, alipelekwa kwa Mkopo huko Real Madrid Msimu uliopita baada Van
Gaal kuamua atakuwa nyuma ya Wayne Rooney, Robin van Persie na Radamel...


Wachezaji wa Arsenal wakishangilia Ubingwa wao ambao umepatikana kwa kuifunga bao 3-1 EvertonArsenal 3-1 Everton, Mikel Arteta akiwa amebeba Kombe lao leo hiiMikel Arteta akiwa amebeba Kombe leoMesut Ozil ndiye aliyeifungia bao la tatu Arsenal kwa kufanya 3-1 dhidi ya Everton zote za Ligi Kuu EnglandRoss aliipatia bao la pekee EvertonSanti Cazorla kafunga la piliTheo Walcott akishangilia mara...


Kikosi cha Yanga Kikosi cha Gor-Mahia Mchezaji
wa Yanga, Amis Tambwe akiwa chini huku wachezaji Collins Okoth (kulia)
na Harun Shakava (kushoto) wa Gor Mahia ya Kenya wakiwania mpira wakati
wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Kagame uliochezwa Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imefungwa mabao 2-1. Mashabiki wa Yanga WENYEJI
Yanga wameanza vibaya kwenye...



Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo.
Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John
Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi
wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa,ambao
walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli amewasili
leo...
Subscribe to:
Posts (Atom)