Friday, January 10, 2014

   Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi.Jana asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo. ...
   RATIBA: Jumamosi Januari 11 15:45 Hull City  v Chelsea 18:00 Cardiff City v West Ham 18:00 Everton v Norwich 18:00 Fulham v Sunderland 18:00 Southampton v West Brom 18:00 Tottenham v Crystal Palace 20:30 Manchester United v Swansea Jumapili Januari 12 17:05 Newcastle V Man City 19:10 Stoke V Liverpool Jumatatu Januari 13 23:00 Aston Villa V Arsenal MSIMAMO ULIVYO KWA SASA. 2013-2014...

waliotembelea blog