James Milner, Martin Skrtel, Emre Can na Roberto Firmino wakifurahia bao la Philippe Coutinho kwenye dakika za mwishoni kwenye Uwanja wa Stoke City Britannia Stadium
Akiachia shuti kali lililozama moja kwa moja langoni
Jordan Henderson akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao
Mchezaji wa Stoke Glen Johnson akituliza kiuzuri mpira mbele ya Meneja wa Liverppool Brendan Rodgers
Mchezaji mpya wa Liverpool, Milner, akioneshwa kadi ya njano na refa Anthony Taylor kwa kumfanyia rafu mbaya Charlie Adam
Henderson chini akijiuguza baada ya kufanyiwa ndivyo sivyo!
Joe Gomez dhidi ya Straika Jonathan Walters kwenye Uwanja wa Britannia ambapo Liverpool walishinda bao lao na kujinyakulia pointi 3 muhimu dakika ya 86.
Martin Skrtel na Simon Mignolet wakichuana vikali
RSS Feed
Twitter
6:48 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment