Bao
la tatu limefungwa kipindi cha pili dakika ya 59 na Vincent Kompany kwa
kichwa baada ya kupigwa kona na David Silva. Picha hapo juu ni Fernandinho
akimpongeza Yaya Toure baada ya kuipa bao tena. Ushindi huu mwepesi kwa
City umewapandisha juu kileleni na kuanza msimu vyema na kwa kupata bao
nyingi kuliko wengine walianza msimu rasmi tangu hapo jumamosi agosti
8. Mechi inayofuata kwa City ni huko kwao Etihad kuwakaribisha Mabingwa
wa England Chelsea jumapili agosti 16.Yaya Toure akipongezwa baada ya kuipa City bao la pili
Yaya
Touré dakika ya 9 anaipa bao la kuongoza Man City kwa kufanya 1-0 dhidi
ya West Brom Albion. Bao la pili lilifungwa pia na huyo huyo Yaya Touré dakika ya 24 na mtanange kwenda mapumziko City ikiwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya Wenyeji West Brom.VIKOSI:
West Brom wanaoanza 11: Myhill, Chester, Dawson, Lescott, Brunt, Morrison, Gardner, Fletcher, McClean, Berahino, Lambert
WBA Akiba: Rose, Olsson, Yacob, McManaman, Sessegnon, Anichebe, Ideye
Manchester City wanaoanza 11: Hart, Sagna, Kompany, Mangala, Kolarov, Toure, Fernandinho, Navas, Silva, Sterling, Bony
Man City Akiba: Caballero, Zabaleta, Denayer, Demichelis, Nasri, Iheanacho, Aguero
0 maoni:
Post a Comment