Thursday, December 17, 2015

Jumamosi Desemba 19 18:00 Chelsea v Sunderland 18:00 Everton v Leicester 18:00 Man United v Norwich 18:00 Southampton v Tottenham 18:00 Stoke v Crystal Palace 18:00 West Brom v Bournemouth 20:30 Newcastle v Aston Villa Jumapili Desemba 20 16:30 Watford v Liverpool 19:00 Swansea v West Ham...
Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich alikutana na bodi ya klabu hiyo kujadili hatima ya meneja wa klabu hiyo Jose Mourinho na sasa kuamua kumtimua. Hii ni baada ya klabu hiyo kuandikisha matokeo mabaya sana msimu huu, matokeo ya karibuni zaidi yakiwa kuchapwa 2-1 na Leicester ligini Jumatatu.Hiyo ilikuwa mara ya tisa kwa Chelsea kushinda Ligi ya Premia katika mechi 16 na sasa...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanya marekebisho ya kanuni za usajili ambapo sasa mchezaji ambaye usajili wake utakuwa umepita kwenye mfumo wa mtandao wa Transfer Matching System (TMS) atapewa leseni na kuitumikia moja kwa moja timu yake mpya. TFF itatoa leseni ya usajili wa mchezaji ambaye amethibitishwa kupitia mtandao wa TMS baada ya kuwepo nyaraka zote; mkataba...

waliotembelea blog