Sunday, July 14, 2013

Uchaguzi uliofanyika jana  Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA...
                                Xavi akiwa na mkewe Nuria Cunillera  Htimaye kiungo wa Klabu ya Barcelona ya Hispania Xavi Hernandez ameamua  kuachana na ukapela kwa kumuoa mchumba wake wa muda mrefu Nuria Cunillera,  ndoa iliyofungwa...
MTANDAO wa wauza madawa ya kulevya unazidi kupukutika Bongo kufuatia madai ya kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujishughulisha na ubebaji ‘punda’ wa biashara hiyo haramu, Ijumaa Wikienda lina mtiririko wote.Hivi karibuni, Video Queen wa Wimbo wa Masogange, Agnes Gerald ‘Masogange’ amedaiwa kunaswa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ akiwa na kilo mia moja na hamsini za unga unaoaminika ni sehemu ya madawa...
  KIBOYA NA JUMA NATURE Nature akimpa mkono Jay AY aki mpa pole Jay Jose Mara akimpa pole Jay Stive Nyerere Akimpa Pole Jay Joh Makini Roma Mkatoliki Dude Fid Q Wakazi Majani Izzo Bizness Quick Rack Mwana FA Shetta B-12 Bob Junior Kala Jeremiah...
Wachezaji wa Miembeni wakisalimia waamuzi pamoja na wachezaji wenzao wa timu ya kagondo Salama!! karibu Kagasheki Cup 2013: Timu zikisalimiana na kufamiana Kagondo nao wakisalimiana na waamuzi Kikosi cha Timu ya Miembeni Benchi la Miembeni na wachezaji wa akiba Benchi la Kagondo Waamuzi wakiteta na timu kapteni hapa kuhusu jambo fulani na kuona wapi wanaelekea. : ...
Shilole alipata nafasi ya kutengeneza video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina 'NAKOMAA NA JIJI' baada ya kumaliza majukumu yaliyo mleta U.S.A. Sehemu ambayo aliipendekeza video hiyo itengenezwe ni New York na ndoto hiyo ilitimia baada ya kupata studio ya kumtengenezea video yake. Pita taswira za location zilizotumika katika video hiyo akiwa katika jiji la New York. Hapa...

waliotembelea blog