Shilole alipata nafasi ya kutengeneza video ya wimbo wake mpya
unaojulikana kwa jina 'NAKOMAA NA JIJI' baada ya kumaliza majukumu
yaliyo mleta U.S.A.
Sehemu ambayo aliipendekeza video hiyo itengenezwe ni New York na ndoto
hiyo ilitimia baada ya kupata studio ya kumtengenezea video yake.
Pita taswira za location zilizotumika katika video hiyo akiwa katika jiji la New York.
Hapa Shilole akiwa ndani ya usafiri uliotumika katika video yake hiyo mpya
Akijiandaa kwa 'make up' mitaa ya Downtown Brooklyn Barclays Center
Shilole akifanya mambo yake mbele ya Video Camera
Masanja akiwa sambamba na Camera Man kuhakikisha Shilole anapata kitu kilicho bora kabisa.
Habari ndiyo hiyoo kaeni mkao wa kula video hii itakuwa baaaaabukubwa ......
Shilole ndiyo habari ya mujini
Kwa picha zaidi za location zilizotumia katika video hiyo bofya read more
Wimbo wake mpya huo unatamba sasa katika radio station za Tanzania.
Hapa Shilole alipata company ya mtoto huyo aliomba kucheza na Shilole baada ya kuvutiwa na jinsi Shilole alivyokuwa akicheza
Shilole akicheza na mtoto alie omba kucheza nae mtoto huyo alivutia na
jinsi Shilole alivyo kuwa anacheza. Baadae katoto ka watu kalilala na
kuomba afanyiwe massage maana alijinyonga nyonga utadhania kashikwa na
kichomi.
Hapo Shilole akipata ukodak na jamaa ambae alivutiwa na jinsi alivyo kuwa ana cheza katika harakati za kutengeneza video yake
.
Hapa Shilole anaonekana amechoka utadhani kakimbizwa na kinyonga mwenye
kwikwi vile. Hapa ilikuwa location ya mwisho Time Square New York City.
0 maoni:
Post a Comment