Wednesday, March 5, 2014

Na Baraka Mpenja wa Fullshangwe, Dar es salaam Tel: 0712461976/0764302956 WEKUNDU wa msimbazi Simba “Taifa kubwa” wameanza mazoezi katika uwanja wa Kinesi jijini Dar es salaam chini ya kocha wake mkuu, Mcroatia Dravko Logarusic, kujiwinda na mtanange wa vuta ni kuvute dhidi ya Maafande wa Tanzania Prisons “wajelajela” katika dimba la sokoine jijini Mbeya jumapili...
Na Saleh Ally, Cairo Mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya hapa, wameamua kuondoka kwenye uwanja ambao wamekuwa wakifanyia mazoezi na kujichimbia kusikojulikana. Al Ahly wameamua kufanya hivyo ili kufanya maandalizi yao kwa utulivu kabla ya kuivaa Yanga katika mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Jumapili. Katika mechi...
Hali ya wasiwasi imekumba jimbo la Crimea. Rais Obama ametangaza mapendekezo ambayo huenda yakatoa suluhu kwa mzozo wa Ukraine, ikiwemo kuwatuma wachunguzi wa kimataifa na kuanzishwa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Moscow na serikali mpya mjini Kiev. Bwana Obama amejadili swala hilo kwa njia ya simu...

waliotembelea blog