MECHI
za Makundi ya UEFA EUROPA LIGI zinaanza Alhamisi Septemba 17 na England
inawakilishwa na Liverpool na Tottenham ambazo zinaanzia hatua hii. Awali West Ham na Southampton zilishiriki lakini zikatupwa nje kwenye Raundi za awali za Mchujo. Mechi hizi za Makundi 12 ya Timu 4 kila moja zitaanza Septemba 17 na kumalizika Desemba 10. Alhamisi
Usiku, Liverpool, ambao wako Kundi B, watakuwa...
Thursday, September 17, 2015


Barcelona
ndio walioanza kuziona nyavu za As Roma kupitia kwa Luis Suárez dakika
ya 21 nao As Roma walisawazishiwa bao na Alessandro Florenzi dakika ya
31 na kufanya 1-1 na mtanange kumalizika dakika 90 kwa sare ya 1-1.
VIKOSI:Roma:
Szczesny, Florenzi, Manolas, Rudiger, Digne, Nainggolan, De Rossi,
Keita, Falque, Salah, Dzeko. Subs: De Sanctis, Maicon, Iturbe, Totti,
Vainqueur, Gervinho,...


Junior
Fernandes dakika ya 58 aliiongezea bao la pili kwa kichwa baada ya
kuunganisha mpira wa kona na kufanya 2-0. Arsenal walizinduka na dakika
ya 79 Theo Walcott aliwafungia bao la kwanza baada ya kuwazidi ujanja wa
mbio mabeki wa Dinamo Zagreb na mtanange kumalizika kwa 2-1. Mtanange
huu Arsenal walipata pigo pale mchezaji wao Giroud alipooneswa kadi
nyekundu na kuifanya timu kucheza...


Moja ya miundombinu inayorahisisha usafirishaji ni pamoja na uimara
wa madaraja, China ni miongoni mwa Mataifa makubwa duniani ambapo uchumi
wake unazidi kukua pamoja na miundombinu yake..ndiyo nchi pekee
inayoongoza kwa miundombinu ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa ubora
duniani.
Hapa...



Patashika ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya taifa,
Patashika ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya taifa baina ya Mwanza na Morogoro.
Patashika
ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya
taifa, imeendelea kutimua vumbi katika dimba la Kumbukumbu ya Karume
jijini Dar...



Lionel
Messi amefikisha mechi 100 za Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Barcelona
ikilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wao AS Roma ya Italia.
ROMA (4-3-3): Szczesny (De Sanctis 50mins); Florenzi
(Torosidis 85), Manolas, Rudiger, Digne; De Rossi, Keita, Nainggolan; Salah,
Dzeko, Falque (Iturbe 82)
Subs not used: Totti, Maicon, Vainqueur, Gervinho
Goal: Florenzi 31
Booked: Nainggolan
BARCELONA...



Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani. Rais
Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya
umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa
kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar
es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada...


1-0 Willian akipongezwa kwa bao
Chelsea waliongeza bao tena kupitia kwa
Oscar dakika ya 45 na bao la tatu lilifungwa na Diego Costa kipindi cha
pili dakika ya 58 na kufanya 3-0 dhidi ya Maccabi Tel-aviv. Cesc Fàbregas alifunga bao la nne dakika ya 78 na kufanya matokeo kuwa 4-0.
Willian aipa Chelsea bao la kuongozaVIKOSI:Chelsea: Begovic, Azpilicueta, Zouma, Cahill, Baba, Willian, Fabregas, Loftus-Cheek,...



Mgambo Shooting ni kati ya timu zinazocheza soka la nguvu yaani
kazikazi.
Katika
mechi ya jana, Mgambo ikiwa nyumbani ililala kwa mabao 2-0 katika mechi
ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
Lakini wachezaji wa Mgambo walikuwa wakicheza kazikazi kweli na
mfano mzuri walivyokuwa wakimgaragaza nahodha wa Simba,...



Olympiacos: Roberto, Elabdellaoui,
da Costa, Siovas, Masuaku, Leandro Salino, Cambiasso (Fortounis 66), Kasami,
Pardo (Seba 82), Dominguez (Hernani 61), Ideye
Subs not used: Kapino, Botia, Finnbogason, Vouros
Booked: Kasami, Cambiasso,
Elabdellaoui
Bayern Munich: Neuer,
Lahm, Boateng, Alaba, Bernat, Vidal (Gotze 79), Alonso (Kimmich 76), Thiago, Muller,
Lewandowski (Coman...
Subscribe to:
Posts (Atom)