
HUKU
akiwa na majonzi ya kuondokewa na baba yake mzazi, Balozi Isaac Abraham
Sepetu aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ugonjwa wa kisukari,
baadhi ya wasanii wanaounda Klabu ya Bongo Movie (muvi) Unity wanadaiwa
kuchekelea kifo hicho na kumsusia msiba mwingizaji mwenzao, Wema Isaac
Sepetu.
Habari kutoka chanzo chetu makini zilidai kuwa hoja dhaifu iliyo
tumiwa na wahusika hao ni...