
MABINGWA
wa Dunia, Germany, bado wapo Nambari Wani mbele ya Argentina na
Colombia huku Tanzania ikipanda Nafasi 7 na kukamata Nafasi ya 100.
Kwa Nchi za Afrika, Algeria ndio ipo juu ikiwa Nafasi ya 18 ikifuatiwa na Ivory Coast walio Nafasi ya 20.
Italy wameingia 10 Bora kwa mara ya kwanza tangu Juni 2014 na
kuwaporomosha Mabingwa wa Dunia wa zamani Spain ambao sasa wako Nafasi...