ht! : First work out and meeting staff/players: Even in discussion with Maxwell, Cabaye can’t stop smiling. Maxwell must want to wipe that smile off his face! LoL! We get it. You’re happy. Meeting fellow Frenchie, Menez Another fellow Frenchman, Digne And another one, Blaise! C
…
...
Wednesday, February 5, 2014


Michael Laudrup enzi hizo akiwa anaiongoza Swansea...
Swansea City imemfuta kazi kocha wake
Michael Laudrup na kumpa nahodha wa timu hiyo Garry Monk kuiongoza
katika mechi ya ligi dhidi ya wapinzani wake Cardiff City Jumamosi
ijayo.Taarifa hizo zinajiri siku moja tu baada ya mwenyekiti wa
kilabu hiyo Huw Jenkins kupuuzilia mbali tetesi kuwa walikuwa
wamezungumzia mustakabali...



Wawakilishi
wa Tanzania bara kwenye mashindano ya klabu Bingwa barani Afrika timu
ya Young Africans itashuka dimbani siku ya jumamosi kuivaa timu ya
Komorozine de Domoni ya Visiwa vya Comoro katika mchezo wa hatua ya
awali ya Klabu Bingwa barani Afrika.
Young Africans itashukda dimbani kuhakikisha inaendeleza wimbi la
ushindi kufuatia kupata ushindi katika mchezo wa mwisho dhidi...
Subscribe to:
Posts (Atom)