Wakitazamana: Neymar na Luka Modric wakijiandaa kuruka juu Sao Paulo.
MWAMUZI Yuichi Nishimura hatausahau
usiku wa leo baada ya kuwasaidia kwa kiasi kikubwa wenyeji Brazil kuvuna
pointi tatu dhidi ya Croatia katika mchezo wao wa kwanza wa kombe la
dunia mwaka 2014.
Mjapani
huyo alimwacha Neymar aendelee kuwepo uwanjani baada ya kumpiga kiwiko
Luka Modric katika kipindi cha kwanza, kabla ya kuwazawadia wenyeji
penati nyepesi.
Mpira wa juu: Neymar (mbele kushoto) na Modric wakigombaniana mpira...lakini Mbrazil aliweza kwa njia isiyosahihi.
Modric akijiokoa na kuanguka chini baada ya kugongana na Neymar
Modric akianguka chini baaada ya kushindwa kuhimili nguvu ya Nemyar
Wachezaji wa Croatia wakimzonga Mwamuzi Yuichi Nishimura, huku Neymar akijitetea
Nishimura akimuonesha Neymar kadi ya njano huku Modric akiwa amelala chini.
Wachezaji wa akiba: Jefferson, Fernandinho, Dante, Maxwell, Henrique, Ramires, Hernanes, Willian, Jo, Maicon, Victor.
Kikosi cha Croatia na viwango vyao:
Pletikosa 6, Srna 6.5, Corluka 7, Lovren 6.5, Vrsaljko 6; Modric 7,
Rakitic 7, Perisic 6.5, Kovacic 6 (Brozovic 62), Olic 6, Jelavic 6.
Wachezaji wa akiba: Zelenika, Pranjic, Vukojevic, Schildenfeld, Rebic, Sammir, Vida, Eduardo, Subasic.