Monday, July 21, 2014

...
  Komweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku mwanamuziki wa bendiya Vijana Jazz Marehemu Hemedi Maneti Ulaya Chiriku aliyekuwa mwamuziki wa bendi ya Vjana Jazz enzi hizo. ………………………………………………………………………………………… Komweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku ni Mtoto wa mwanamuziki wa zamani marehemu Hemedi Maneti Ulaya Chiriku  aliyekuwa akiimba katika bendi...
+6 Gwiji: Mourinho (kushoto) alimleta Drogba Chelsea mwaka 2004 kutokea klabu ya Marseille. Imechapishwa Julai 21, 2014, saa 6:35 mchana NDOTO ya Didier Drogba kurudi tena Chelsea inatarajia kukamilika wiki hii. Mazungumzo ya kumpa mkataba wa mwaka mmoja wa ukocha na mshambuliaji wa akiba yamekuwa yakiendelea vizuri na kuelekea kukamilika na gwiji huyo wa darajani mwenye...
Aliyekuwa mkufunzi wa timu ya soka ya Brazil Luiz Felipe Scolari Brazil inatarajiwa kumtangaza mkufunzi wake mpya katika mkutano na wanahabari siku ya jumanne kufuatia kujiuzulu kwa kocha wa timu...
Na Shaffih Dauda KOCHA wa Timu ya taifa ya Tanzania, Mholanzi, Mart Nooij aliamua kuwaanzisha washambuliaji wanne katika mechi dhidi ya Msumbuji, kuwania kupangwa hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kucheza fainali za mataifa ya Afrika, AFCON, mwakani nchini Morroco. Mbwana Ally Samatta, Thomas Ulimwengu, John Bocco `Adebayor` na Mrisho Ngassa, wote kwa pamoja walianza katika sare ya 2-2...
Khamis Mcha `Vialli` akiwa katika harakati za kufunga katika mechi ya jana dhidi ya Msumbiji KUTOKANA na kambi iliyowekwa mjini Gaborone nchini Botswana kwa wiki mbili na baadaye mjini Tukuyu mkoani Mbeya, Watanzania wengi walikuwa na matumaini ya kuibuka na ushindi dhidi ya Msumbiji. Matumaini haya hayakuwa kwa mashabiki tu, hata kwa  benchi la ufundi, viongozi wa soka na wachezaji...

waliotembelea blog