Sunday, August 2, 2015

Mshambuliaji mpya wa Liverpool, Divock Origi akishangilia baada ya kuifungia timu yake jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji HJK Helsinki mchezo wa kirafiki. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Philippe ...
Mesut Ozil Ligi kuu ya Uingereza inaanza tena siku ya jumapili wakati ambapo mabingwa wa ligi hiyo Chelsea wanakutana na washindi wa kombe la FA Arsenal katika kombe la Charity Shield itakayogaragazwa katika uwanja wa Wembley.Mechi hiyo inajiri siku 64 baada ya kumaliza ligi hiyo na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Aston Villa katika fainali ya FA.Pande zote mbili hazijafanya usajili mkubwa...
Kipigo!! 4-2 Kocha Pellegrini akijionea live bila chenga!Muda wa Mawazo mazito! Stuttgart  4 vs 2 Man Cit?  Daniel Ginczek akiifungia bao la nne Timu yake ya Stuttgart Raheem Sterling katiSterling alikabwa kila kon...
Dirisha la Usajili kwa Vilabu vya Ligi Kuu (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (RCL) linatarajiwa kufungwa tarehe 06 Agosti, 2015. Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) linavikumbusha vilabu vyote kufanya usajili wa wachezaji wao mapema kabla ya kufungwa kwa dirisha hilo, ili kuondokana na usumbufu wa kufanya usajili dakika za mwisho. Pindi dirisha hilo litakapofungwa...
Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa Chama hicho, wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Mh. Lowassa alifika ofisini hapo kurudisha fomu za kuomba ridhaa ya Chama hicho,...
Kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga August 1 imepigwa mechi ya Fainali ya Super Cup, mchezo huo ulizikutanisha timu za FC Bayern Munchen dhidi ya klabu ya Wolfsburg katika uwanja wa Volkswagen Arena. Mchezo umemalizika kwa Wolfsburg kuibuka washindi baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1, hadi dakika ya 88 FC Bayern...
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho ameingia tena kwenye headlines kwa kauli zake anazozitoa kuelekea mchezo wa Ngao ya Hisani, Chelsea itakutana na Arsenal August 2 saa 11 jioni kwenye uwanja wa Wembley wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000. Mourinho ambae anajulikana kwa kuwa na uwezo wa kucheza na akili ya kocha wa timu pinzani amerudi na kauli nyingine...

waliotembelea blog