Thursday, December 5, 2013

Willy Kirouera Rutta: Nisaidieni jamani kwa kutoa maoni yako- Hivi kwanini vijana wengi ambao ni wahaya HAWAPENDI KUJITATAMBULISHA KUWA NI WAHAYA, wanapenda kuona fahari ya kujitambulisha kuwa mi sio mhaya kwani sikuzaliwa Bukoba, wengine Mama mchaga, utasikia sikusomea wala sijui kihaya, wengine mi mhaya wa kiharabu, WENGINE BIBI MZAA BABA NDIO MHAYA. Mimi binafsi ni mhaya origanal na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akihutubia wakazi wa Kahama Mjini leo. Dk. Slaa akiendelea na mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama leo. Dk. Slaa akiwaaga wananchi wa Kahama Mjini baada ya mkutano wake wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma...

waliotembelea blog