Thursday, December 5, 2013


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akihutubia wakazi wa Kahama Mjini leo.
Dk. Slaa akiendelea na mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama leo.
Dk. Slaa akiwaaga wananchi wa Kahama Mjini baada ya mkutano wake wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog