Tuesday, October 27, 2015

Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa siku ya Jumatano ya October 28 na Alhamisi ya October 29. Ligi hiyo inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali ambapo uwanja wa Taifa Dar Es Salaam utapigwa mchezo ambao unatajwa kuwa na presha kwa kocha wa Simba Dylan Kerr ambaye kuna tetesi kuwa uongozi wa Simba umempa mechi mbili afanye vizuri...
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Rigobert Song ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Chad.Song, mwenye umri wa miaka 39, aliteuliwa Jumatatu kumrithi Mfaransa Emmanuel Tregoat, ambaye mkataba wake ulimalizika Septemba 30."Haitakuwa rahisi kufuzu kwa Kombe la Taifa Bingwa Afrika 2017 lakini tuko tayari kujikaza kisabuni,” difenda huyo wa zamani wa Liverpool na West...
Mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney ameruhusiwa kufanyiwa Mechi ya Kumuenzi na mapato yote ya Mechi hiyo kwenda kwenye Mifuko ya Hisani. Mechi hii imepitishwa baada ya Mashabiki kuiomba Klabu kutambua mchango mkubwa uliotukuka wa Rooney kwa Klabu hiyo. Sasa Mechi hii itachezwa Old Trafford hao Agosti 3, 2016 dhidi ya Wapinzani ambao watapangwa baadae. Akiongelea uamuzi huu, Rooney...
Timu ya Taifa Tanzania ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars) inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi Novemba 7, 2015 jijini Dar es salaam. Mchezo huo wa kirafiki ni sehmu ya kujipima kwa Twiga Stars inayonolewa na kocha Rogasian Kaijage, ambayo ilishiriki Fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Agosti – Septemba nchini...
Muigizaji Kingwendu ni miongoni mwa mastaa ambao wamechukua headline za kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 kama Afande Sele, Professor Jay, Muigizaji Frank na wengineo. Stori iliyonifikia ni kwamba muigizaji huyo hakufanikiwa kupata Ubunge kupitia tiketi ya CUF katika  jimbo la Kisarawe...

waliotembelea blog