
KLABU ya Hull City imethibitisha kuachana na Meneja wao Mike Phelan alieshinda Mechi 3 tu kati ya 20. Phelan,
mwenye Miaka 54 na ambae alikuwa Msaidizi wa Sir Alex Ferguson huko Man
United, aliteuliwa Meneja wa kudumu Mwezi Oktoba. Juzi Jumatatu,
Hull City ilichapwa 3-1 na West Bromwich Albion na kuiacha ikiwa eneo la
hatari la mkiani mwa EPL, Ligi Kuu Engl, wakiwa na Pointi 13 kwa Mechi...