Wednesday, November 4, 2015

Stori kuhusu bondia wa kitanzania Francis Cheka kusafiri kwenda Manchester Uingereza kupambana na bondia wa kiingereza zimezidi kuchukua headlines kutokana na safari yake kutoeleweka. Cheka aliripotiwa kusafiri kwenda Uingereza kwa zaidi ya wiki kadhaa nyuma lakini safari yake imekuwa ikihairishwa...
Dakika ya 55 kipindi cha pili Arjen Robben aliipa bao la nne Bayern na kufanya matokeo kuwa 4-0 dhidi ya Arsenal baada ya kupokea mpira kutoka kwa David Alaba. Bao la Arsenal limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 69 na kufanya 4-1. Thomas Müller aliandika bao la tano dakika ya 89 na mtanange kumalizika kwa 5-1 dhidi ya Arsenal.4-0Robert Lewandowski akishangilia bao lake.David Alaba dakika...
 Neymar akishangilia bao lake baada ya kufanya 3-0 Luis Suarez nae alifanya 2-0 hapa Mtu kati Neymar akitupia... Neymar aliruka juu baada ya kufunga bao la kwanza kwa mkwaju wa penati Mashabiki wa Barca wakiwa na bendera zao Taswira Ndani ya box Javier Mascherano akichuana vikali na Mikhail Gordeichuk leo kwenye Uefa(Klabu Bingwa Ulaya) Neymar dakika ya 30 kaifungia bao Barcelona...
Aleksandar Dragovic dakika ya 77 aliisawazishia bao na kufanya 1-1 dhidi ya Chelsea baada ya mchezaji huyo huyo kuwapa bao la zawadi Chelsea kwa kujifunga katika kipindi cha kwanza dakika ya 34.VIKOSI: Chelsea: Begovic; Azpilicueta, Zouma, Terry, Baba Rahman; Ramires, Matic; Willian, Fabregas, Oscar; Diego Costa. Akiba: Blackman, Cahill, Loftus-Cheek, Kenedy, Hazard, Pedro, Re...
= Kocha wa kijerumani ambaye ana muda wa wiki kadhaa toka ajiunge na Liverpool kama kocha mkuu wa klabu hiyo, baada ya uongozi wa Liverpool kumfuta kazi Brendan Rodgers. Ikiwa ni siku moja imepita toka kiungo mwenye heshima kubwa katika klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza Steven...
Mkufunzi wa Manchester United Louis van Gaal amefichua kuwa anatambua mashabiki wa klabu hiyo hawajafurahia mbinu zake.va Gaal aliongezea kusema kuwa ushindi wao dhidi ya CSKA Moscow ulileta tabasamu Old Trafford.Uamuzi wa kocha huyo kumuondoa Anthoy Martial na badala yake kumleta Fellaini mechi ikiwa 0-0 ulishtumiwa vikali huku mashabiki wakionyesha hisia zao kwa kumzomea.Rooney aliipa...
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes nchini Naigeria, Bw. Jack Liu (wa pili kulia) akiwa ameshikilia sare ya kampuni hiyo pamoja na mabalozi wapya Jonathan Akpoborie (wa kwanza kushoto) na Kanu Nwankwo (katikati) wakati wa hafla fupi ya kuwatambulisha mabalozi wapya wa kampuni hiyo jijini Lagos Naigeria mwishoni mwa wiki. Wakijumuika kwa pamoja katika tukio hilo ni wafanyakazi...
Mwanamitindo wa hapa nchini, Mustafa Assanali kulia na Katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania, Godfrey Mngereza wakifungua pazia kuzindua Onesho la Swahili Fashion Week leo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam aambalo litakuwa na mwendelezo wa kuonesha ubunifu wa mitindo kwa siku tatu mfululizo litakalokuwa likifanyika katika hoteli ya Sea Clief jijini Dar...

waliotembelea blog