Dakika ya
55 kipindi cha pili Arjen Robben aliipa bao la nne Bayern na kufanya
matokeo kuwa 4-0 dhidi ya Arsenal baada ya kupokea mpira kutoka kwa
David Alaba. Bao la Arsenal limefungwa
na Olivier Giroud dakika ya 69 na kufanya 4-1. Thomas Müller aliandika
bao la tano dakika ya 89 na mtanange kumalizika kwa 5-1 dhidi ya
Arsenal.4-0Robert Lewandowski akishangilia bao lake.David Alaba dakika ya 44 aliipachikia Bayern bao la tatu na kufanya mtanange kwenda mapumziko kwa 3-0 dhidi ya Timu ya ArsenalMenenja wa Arsenal, Arsene WengerRobert Lewandowski dakika ya 10 kaifungia bao la kuongoza Bayern Munich kwa kufanya 1-0 dhidi ya Arsenal, Bao la pili kalifunga Thomas Müller dakika ya 29 baada ya kupata mpira ktoka kwa Kingsley Coman.Akitupia nyavuni..Kikosi cha Bayern kilichoanza dhidi ya Arsenal usiku huu OzilVIKOSI:
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Javi Martinez, Alaba, Alonso, Coman, Muller, Thiago, Douglas Costa, Lewandowski.
Akiba: Ulreich, Benatia, Robben, Rafinha, Badstuber, Vidal, Kimmich.
Arsenal: Cech, Debuchy, Mertesacker, Gabriel, Monreal, Coquelin, Cazorla, Campbell, Ozil, Sanchez, Giroud.
Akiba: Macey, Gibbs, Koscielny, Flamini, Chambers, Iwobi, Reine-Adelaide.
Refa: Gianluca Rocchi (Italy)

0 maoni:
Post a Comment