Monday, July 8, 2013

MATUKIO YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI TAIFA    Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwepo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Taifa jana.   Msaada kwenye tuta kuhusiana na hii style bado mimi sijaielewa wewe je?   Kombe lililokuwa linawaniwa na wabunge wa Yanga na Simba... Msanii Mboto akicheza kiduku kutokana na wimbo uliokuwa unaimbwa na mzee Yusuph,...
WAFUASI WA RAIS ALIYEPINDULIWA MORSI WAUAWA NCHINI MISRI.     MAAFISA wa Afya Misri wamesema takriban watu 42 wameuawa kwa kupigwa risasi mjini Cairo nje ya kambi ya kijeshi ambapo wafuasi wa Rais aliyeondolewa madarakani Mohammed Morsi walikua wamekusanyika na wanaamini anazuiliwa hapo. Watu wengine 300 wamejeruhiwa. Kundi la Muslima Brotherhood...
MWANAFUNZI WA CHUO CHA VETA MKOANI DODOMA AJILIPUA KWA PETROL.....KISA NI WIVU WA MAPENZI ...!! Mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi (Veta) mkoani Dodoma, Taliki Juma, (22) amefariki dunia baada ya kujilipua kwa kutumia mafuta ya petroli na kujeruhi wengine nane. Tukio hilo lilitokea juzi saa 10.30 jioni Nzuguni eneo la Machaka, nje kidogo ya Manispaa...
IRENE UWOYA AMWAGIWA MATUSI YAA NGUONI NA MASHABIKI WA BONGO FLEVA BAADA YA KUMFANANISHA 'DIAMOND PLATINUMZ' NA 'MICHAEL JACKSON'...!! MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na aliyekuwa mwanamuziki mkubwa duniani, marehemu Michael Jackson. Wikiendi iliyopita, Uwoya aliandika...

waliotembelea blog